Ana Kwa Ana na Zuli Boy






Na ActionRec Blog

ActionRec Blog : Mambo!
Zuli Boy : Poa..

ActionRec Blog: Naomba ujitambulishe kwa mashabiki wako?
Zuli Boy: Natambulika kama Zuli boy msanii wa bongofleva.

ActionRec Blog: Ulianza kazi ya muziki lini?
Zuli Boy: Nilianza kazi ya muziki mnao mwaka 2013

ActionRec Blog: Mpaka ulisaharekodi nyimbo ngapi?
Zuli Boy: Nilisharekodi ngoma kama sita ambapo mbili kati ya sita nishaziachia.

ActionRec Blog: Kati ya hizo nyimbo sita ni zipi au ni ipi unaikubali?
Zuli Boy: Ngoma ninayo ikubali inakwenda kwa jina la Nadia


ActionRec Blog: Unampango gani kimziki?
Zuli Boy: Kuwa msanii mkubwa afrika mashiriki na afrika kwa ujumla.

ActionRec Blog: Una ndoto ya kufanyakazi na msanii gani hapa bongo?
Zuli Boy: Natamani sana kufanyakazi na DiamondPlatnumz kwani ndiye role model wangu.


ActionRec Blog: Kwa hapa nyumbani (Kahama) unamkubali msanii gani?
Zuli Boy: Kwa nyumbani na mwelewa sana Nacha

ActionRec Blog: Kwa upande wa watayarishaji wa muziki hapa nyumbani unamkubali nani?
Zuli Boy: Kwa upande wa maprodyuza na mkubali Ghost Kifaa.


ActionRec Blog: Unatumia njia gani kusambaza kazi zako?
Zuli Boy: Natumia blogs, radio na library za muziki.

ActionRec Blog: Je, unamiliki mitandao ya kijamii?
Zuli Boy: Ndio ambapo utanipa Instagram kwa jina la @lifeofzuli Twitter kama @ amranizulfical na             snapchat  kama @alhajzuli

ActionRec Blog: Asante sana kwa kushare na sisi karibu tena..
Zuli Boy: Poa Poa

0 comments:

Post a Comment

New Song : Bado Napambana - Young Ghost Kifaa ft Aidan, Foecka, Jonah Gain & Kanta J





Kusikiliza na kudownload huu wimbo ingia hapa chini...
http://hu.lk/hrgo0zbnl0jk

0 comments:

Post a Comment