Showing posts with label A Rec. Show all posts
Showing posts with label A Rec. Show all posts

Muziki - Uzeeni
Msanii - Chiddy Mentary
Mtayarishaji - Young Ghost Kifaa
Studio - Action Records Tanzania
Mtayarishaji video - Fecha


Artist: Bishop RQ
Audio produced by: Young Ghost Kifaa/Action Rec
Video directed by: Dir Munocku/Softfingers







Artist: Miquiz as Brain ft Chiddy Mentary
Audio prod by: Young Ghost Kifaa/Action Rec
Video directed by: Dir Fecha Sharon

Artist: Mensen Classic ft Sajna
Audio prod by: Young ghost Kifaa/Action Rec
Video directed by: Dir Fecha


Artist: Black & Bishop RQ/MMRS Swahili Music
Audio prod by: Young Ghost Kifaa/Action Rec
Video directed by: Dir Munocku




Artist: Chiddy Mentary
Prod by: Young Ghost Kifaa/Action Rec
Video directed by: Dir Munocko
 





Kuupakua wimbo huu ingia hapa chini

http://hu.lk/203wpsk376ps


Kuupakua Huu wimbo ingia chini
http://www.hulkshare.com/wamtaani/rapnation-we-on







Kuupakua huu wimbo ingia <<HAPA>>





Na ActionRec Blog

ActionRec Blog : Mambo!
Zuli Boy : Poa..

ActionRec Blog: Naomba ujitambulishe kwa mashabiki wako?
Zuli Boy: Natambulika kama Zuli boy msanii wa bongofleva.

ActionRec Blog: Ulianza kazi ya muziki lini?
Zuli Boy: Nilianza kazi ya muziki mnao mwaka 2013

ActionRec Blog: Mpaka ulisaharekodi nyimbo ngapi?
Zuli Boy: Nilisharekodi ngoma kama sita ambapo mbili kati ya sita nishaziachia.

ActionRec Blog: Kati ya hizo nyimbo sita ni zipi au ni ipi unaikubali?
Zuli Boy: Ngoma ninayo ikubali inakwenda kwa jina la Nadia


ActionRec Blog: Unampango gani kimziki?
Zuli Boy: Kuwa msanii mkubwa afrika mashiriki na afrika kwa ujumla.

ActionRec Blog: Una ndoto ya kufanyakazi na msanii gani hapa bongo?
Zuli Boy: Natamani sana kufanyakazi na DiamondPlatnumz kwani ndiye role model wangu.


ActionRec Blog: Kwa hapa nyumbani (Kahama) unamkubali msanii gani?
Zuli Boy: Kwa nyumbani na mwelewa sana Nacha

ActionRec Blog: Kwa upande wa watayarishaji wa muziki hapa nyumbani unamkubali nani?
Zuli Boy: Kwa upande wa maprodyuza na mkubali Ghost Kifaa.


ActionRec Blog: Unatumia njia gani kusambaza kazi zako?
Zuli Boy: Natumia blogs, radio na library za muziki.

ActionRec Blog: Je, unamiliki mitandao ya kijamii?
Zuli Boy: Ndio ambapo utanipa Instagram kwa jina la @lifeofzuli Twitter kama @ amranizulfical na             snapchat  kama @alhajzuli

ActionRec Blog: Asante sana kwa kushare na sisi karibu tena..
Zuli Boy: Poa Poa




Kusikiliza na kudownload huu wimbo ingia hapa chini...
http://hu.lk/hrgo0zbnl0jk

Kusikiliza na kudownload wimbo huu ingia hapo chini..





http://hu.lk/otnbj95qlzpc





Kuupakua wimbo huu bonyeza hapa chini...
http://hu.lk/wqwqdhxp21a8






Kuupakua huu wimbo ingia hapa chini..
   
http://hu.lk/oqfuzh4qx4ao


Kusikiliza na kupakua wimbo huu ingia gonga hapa chini...
http://hu.lk/zbx1tuv39b7k


Kusikiliza au kuupakua wimbo huu gonga hapa chini...
http://hu.lk/fnqnelro6igw


Kuupakua huu wimbo gonga hapa chini...
http://hu.lk/xk3y7rjfym80







Kuupakua wimbo huu gonga hapa chini..
http://hu.lk/t9ptapndm4n4
 





Kupakua na kusikiliza Ingia hapa chini..

http://hu.lk/hbzhao91iqyo





Kupakua huu mwimbo ingia hapa
http://hu.lk/m0qbs4dk9pmo